
SHIRIKISHO la Soka nchini Tanzania (TFF) limesema mchezo namba 72 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara(TPL) uliyozikutanisha mahasimu wa jadi, Simba SC na Young Africans Sc uliochezwa jana Jumapili Septemba 30,2018 Uwanja wa Taifa uliingiza jumla ya shilingi milioni 404,549,000.
Katika mechi hiyo ambayo mgeni Rasmi alikuwa Spika wa Bunge, Job Ndugai, timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.Said Ally, Dar es Salaam