

Mkuu wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Frank Mwaisumbe, amezindua rasmi ofisi mpya ya Vodacom Tanzania wilayani Longido ikiwani moja ya mwendelezo wa kampuni hiyo kuwasogezea wateja wake huduma karibu.
Mkuu wa Uhusiano na mawasiliano wa Vodacom Tanznaia, Jacqueline Materu na wafanyakazi wa Vodacom Longido wameshuhudia uzinduzi huo wa ofisi mpya ya vodacom.