MBUNGE wa Jimbo la Simanjiro kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Ole Millya, amejiuzulu ubunge na kukihama Chama hicho na kuomba kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.