Rais Magufuli na Mkewe Wamtembelea Maria Nyerere
RAIS John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli leo wamemtembelea mke wa hayati Mwalimu Julius Nyerere, Maria Nyerere, nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam baada ya kuhudhuria misa maalumu kumuombea Baba wa Taifa, Julius Nyerere, iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Oyster Bay jijini Dar es Salaam leo Jumapili Oktoba 14, 2018.
Comments are closed.