Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya hiyo kuyafunga maduka ya Mwenyekiti wa Chadema kwa kosa la kuchochea wananchi kutolipa kodi.