SANIA SHABAN mtoto wa marehemu Agnes Masogange ambaye alikuwa msanii wa muziki na mwigizaji, ameweka wazi kwamba anapenda kuimba na kuigiza na kwamba miongoni mwa waimbaji anaowakubali ni pamoja na Diamond Platnumz.