×

ZAHERA: MAKAMBO Hawezi Hata Mama Angu Anafunga Pale – Video

Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunguka mambo kadhaa juu ya sare ya 1-1 dhidi ya Ndanda ambayo wameipata kwenye Uwanja wa Taifa.

Zahera amemgusia straika wake, Herietier Makambo kwa kusema alishindwa kufunga mpira ambao hata mama yake angeweza.

MSIKILIZE ZAHERA AKIZUNGUMZA HAPA