×

HUYU NDIYE BINT SALIM, MWENYE SHEPU KAMA LOOTE!- VIDEO


Huyu Si mwingine bali ni Scollah Wawuda a.k.a ‘Binti Salim’ ambaye ameibuka kwenye tasnia ya uigizaji na kutikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa na umbo lenye kuvutia na kuwatoa udenda wanaume wengi….wenyewe wanasema ana Shepu Kama Loote! Amefunguka mengi kuhusu maisha yake ya sanaa na maisha ya mapenzi, je ‘mtu wake’ yukoje? Ana sifa gani? Yote yamo ndani ya mahojiano haya EXCLUSIVE na GLOBAL TV ONLINE!