×

Forbes Laorodhesha Vijana Wenye Vipaji Chini Ya Miaka 30 Kwa 2019

Jarida maarufu la kiiashara ‘Forbes’ limetoa orodha ya vijana 30 wenye chini ya umri wa miaka 30 wenye vipaji vikubwa kwenye sanaa ya burudani kwa mwaka 2019 ambayo inajumuisha  wanamuziki, mameneja, wamiliki wa lebo na maprodyuza.

Baadhi ya wanamuziki walioingia kwenye orodha hiyo ni:

             Savage (mwenye umri wa miaka 26) – Hip Hop Artist

Post Malone (23) – Pop Artist

Camila Cobello (21) – Pop Artist

Lil Pump (18) – Hip Hop Artist

Juice WRLD (19) – Hip Hop Artist

Vituko vya Mr Beneficial Jukwaani na staili ya ‘Yechu Yechu’