
IKIWA ni mwendelezo wa kuitengeneza Tanzania mpya ya uchumi wa viwanda, unaoendana sambamba na kukuza kilimo cha mazao mbalimbali yakiwemo ya biashara na chakula, Kiwanda cha Sayona Drinks Ltd kimekuja na ubunifu mpya wa bidhaa zake ambao unapendwa na kila mtu.

Sayona Drinks ni kiwanda pekee Afrika Mashariki kinachotengeneza vinywaji vyenye ladha halisi ya matunda bila kuchanganya kemikali ambacho kipo eneo la Mboga, wilayani Chalinze, Mkoa wa Pwani, ambacho kimejikita zaidi hasa katika uzalishaji vinywaji baridi vya matunda (juice).

Kiwanda hiki kinazalisha aina tofauti tofauti za vinywaji baridi ikiwemo maji safi ya kunywa lakini leo tunaangazia zaidi juisi ya embe (Mango Fruit Juice Drink).

Mango Fruit Juice Drink imekuwa gumzo mitaani kutokana na ladha yake halisi ya embe, kinapendwa na watu wa rika zote, kuanzia watoto, vijana na wazee kwa sababu kinaongeza virutubisho muhimu mwilini na vitamini C zinazoufanya mwili wako kujikinga magonjwa, kuimarisha mifupa na mishipa.

Kinywaji hiki kimeshika zaidi mioyo ya watu hasa kwenye maharusi, mikutano mbalimbali, na sherehe tofauti huwezi ukakosa Mango Fruit Juice Drink.

Kinywaji hiki kipo kwenye vifungashio vya Box pamoja na Chupa, kwa ujazo tofauti kuanzia Mililita 500 ambazo ni sawa na ujazo wa 0.5 Lita pamoja na Mililita 1500 sawa na ujazo wa Lita 1.5.

Kama ambavyo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amekuwa akisisitiza viwanda, hii inaonyesha kiwanda hiki ni mkombozi mkubwa wa sekta ya viwanda, uchumi, kilimo na ajira.

Kwa wale wanaotaka kuwa mawakala wetu kwa ndani na nje ya nchi basi unaweza kuwasiliana nasi kwa;
Simu: +255 222119265/62139158
Fax : +255 222117963

Makao Makuu ya Sayona Drinks Ltd wapo Jengo la Neelkanth Tower Sewa Street City Centre Dar es Salaam.

Au kwa barua pepe [email protected]

