



Msanii wa muziki wa kizazi kipya na C.E.O wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Diamond Platinumz, ameacha historia ya aina yake usiku wa kuamkia leo kwenye tamasha la Wasafi Festival 2018 lilofanyika usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
Baadhi ya wasanii waliotumbuiza katika tamasha hilo ni Diamond, Harmonize, Rayvanny, Dudu Baya, Country Boy, Lava Lava, Young Killer, Navy Kenzo, Chin Bees, Mbosso, Queen Darling, mchekeshaji Dulvan na wengine kibao.
PICHA NA MUSA MATEJA | MTWARA – GPL