Leo Jumanne, Novemba 27, 2018 Msani anayejulikana kama Amber Rutty na mpenzi wake, Said Mtopari wamepata dhamana baada ya kusota rumande kwa wiki kadhaa na mchungaji Daudi Mashimo kujitokeza kuwadhamini watuhumiwa hao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Global Tv Online imempata mchungaji huyo ili kutaka kujua kilichomsukuma hadi kufanya hivyo, kwani watu wengi walikuwa kama wamesusa kuwadhamini Amber Rutty na mpenzi wake…. haya hapa majibu ya mchungaji.