WAWEKEZAJI WA LIGANGA MCHUCHUMA WAOMBA KUKAA MEZA MOJA NA SERIKALI Global Publishers November 26, 2018 SHARE THIS: WAWEKEZAJI WA LIGANGA MCHUCHUMA WAOMBA KKAA MEZA MOJA NA SERIKALI *Kampuni ya Sichuan Hongda Group ya China yaomba kukaa meza moja na Serikali ili kufikia muafaka wa mradi wa uchimbaji Liganga Mchuchuma, ambapo yasubiri hatima ya mradi huo kutoka Serikalini. SHARE THIS: