WAJUE WANAMUZIKI NA WALIOSIKILIZWA ZAIDI MWAKA 2018 SPOTIFY
Mtandao wa Spotify unaouza nyimbo na kumwezesha mtu kusikiliza, umetoa orodha kamili ya mwaka 2018 ya wasanii pamoja na nyimbo zao zilizosikilizwa zaidi kwa mwaka 2018.
Rapa Drake amekuwa ni msanii wa kwanza kwa upande wa Marekani na kidunia katika mtandao huo kwa wimbo wake wa ‘God’s Plan‘ pamoja na albam ya ‘Scorpion’ kwa mwaka 2018.
Drake ni msanii pekee mwenye rekodi ya juu zaidi kwa nyimbo zake kusikilizwa katika mtandao huo kuliko msanii mwingine yeyote.
Kwa upande wa wasanii wa kike, mwanadada Ariana Grande amefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwa mwaka 2018 baada ya albam yake ya ‘Sweetner ‘ kusikilizwa zaidi na wimbo wake wa ‘Thank you next‘ kufanya vizuri kwa kusikilizwa mara milioni 220 tangu imetoka.
Cardi B amefanikiwa kukamata nafasi ya kwanza kwa upande wa Marekani ambapo albam yake ya Invasion Of Privacy ndiyo imempa credit iliyokaa nafasi ya nne.
TAZAMA ORODHA KAMILI YA TOP 5 HAPO CHINI.
ORODHA YA KIDUNIA
WASANII WA KIUME WALIOSIKILIZWA ZAIDI 2018
1. Drake
2. Post Malone
3. XXXTentacion
4. J Balvin
5. Ed Sheeran
WASANII WA KIKE WALIOSIKILIZWA ZAIDI 2018
1. Ariana Grande
2. Dua Lipa
3. Cardi B
4. Taylor Swift
5. Camila Cabello
NYIMBO ZILIZOSIKILIZWA ZAIDI 2018
1.“God’s Plan” – Drake
2. “SAD!” – XXXTentacion
3. “rockstar” (feat. 21 Savage) – Post Malone
4. “Psycho” (feat. Ty Dolla $ign) – Post Malone
5. “In My Feelings” – Drake
ALBAM ZILIZOSIKILIZWA ZAIDI 2018
1.Scorpion– Drake
2. beerbongs & bentleys – Post Malone
3. ? – XXXTentacion
4. Dua Lipa – Dua Lipa
5. ÷ – Ed Sheeran
ORODHA KWA UPANDE WA KIDUNIA (US)
U.S. WASANII WA KIUME WALIOSIKILIZWA 2018
1. Drake
2. Post Malone
3. XXXTentacion
4. Travis Scott
5. Khalid
MAREKANI: WASANII WA KIKE WALIOSIKILIZWA ZAIDI 2018
1.Cardi B
2. Ariana Grande
3. Taylor Swift
4. Nicki Minaj
5. Halsey
MAREKANI: NYIMBO ZILIZOSIKILIZWA 2018
1.“God’s Plan” – Drake
2. “SAD!” – XXXTentacion
3. “Psycho” (feat. Ty Dolla $ign) – Post Malone
4. “Lucid Dreams” – Juice WRLD
5. “Nice For What” – Drake
MAREKANI: ALBUM ZILIZOSIKILIZWA 2018
1.Scorpion– Drake
2. beerbongs & bentleys – Post Malone
3. ? – XXXTentacion
4. Invasion of Privacy – Cardi B
5. Stoney – Post Malone
Comments are closed.