Msanii wa muziki kutoka WCB, Lava Lava usiku wa kuamkia leo amesempa na kijiji kwenye Tamasha la Wasafi Festival lilofanyika katika Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika tamasha hilo ni Diamond, Harmonize, Rayvanny, Dudu Baya, Country Boy, Lava Lava, Young Killer, Chin Bees, Mbosso, Queen Darling na wengine kibao.