
Msanii wa kike wa Bongo Fleva Dayna Nyange ametubless na wimbo mpya ‘Jiba’ wa kufungulia sikukuu ya Krismas.
Audio imetengenezwa na Mr T Touch pamoja na Davy Machord.
Chini kabisa unaweza ku download kama umeipenda.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
