The House of Favourite Newspapers

KOCHA WA YANGA ALIVYOTUA NCHINI SAA 9 USIKU ASEMA HAYA -VIDEO

Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka baada ya kutua nchini akitokea nchini Ufaransa kwenye biashara zao.

”Mimi kocha Mwinyi Zahera naomba wanachama waichangie klabu iweze kusafiri kwa ndege kwenda Mbeya ili tukacheze na tupate matokeo na mimi binafsi nitaongezea kiasi kitakachopelea”, amesema Zahera.

Kocha Yanga Awaomba Wanachama Kuichangia Timu

Comments are closed.