





MAKAMUZI ya wanamuziki Mr blue, Mwana Fa, Billnass na Dogo Aslay, yalikuwa ya aina yake usiku wa kuamkia leo AMBAPO mashabiki wa burudani walifurika ndani ya Club Next Door Arena iliyopo Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa na tamasha la funga mwaka lililoandaliwa na mwanamuziki wa kizazi kipya, Ali Kiba, na kundi lake Tamasha hilo lilikwenda kwa jina la Funga Mwaka na King Kiba.
HABARI/ PICHA: RICHARD BUKOS / GPL