Msanii kutoka WCB, Rajab Abdul ‘Harmonize’ alifanya shoo ya aina yake mwezi Desemba 2018 Mombasa nchini Kenya huku akiwaimbisha umati wa watu na wengine wakimshangilia kwa shangwe.