‘Happy Day’ Ni Wimbo Mpya Wa Injili, Utaupenda! – Usikilize Hapa
RUDISHA sifa, shukrani na utukufu kwa Mungu kwa kuusikiliza wimbo mpya wa ‘Happy Day’ toka kwa mwimbaji maarufu wa Injili duniani Y.G.O akiwa ameshirikiana na Heri Muziki, Ice Boy na Young Lunya.
Audio imetengenezwa na OGY Keys ndani ya EMG Records.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.