Fid Q Aungana Na Baraka Da Prince Kwenye ‘Mafanikio’ Wimbo Mpya
Rapa Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q ameungana na Barakah Da Prince kwenye audio ya wimbo wake mpya, ‘Mafanikio’.
Audio imetengenezwa kwenye studio za wanene chini ya producer Goncher Beats huku ikimaliziwa na Chizan Brain.
Kama umeipenda unaweza ku download chini kabisa.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.