Kuna sehemu mbalimbali duniani ambazo watu wanaweza kutembelea ili kujifunza na kujionea mambo mbalimbali, Lakini siyo kila sehemu duniani ni salama kutembelea.
Global Tv, imekuletea orodha fupi ya sehemu ambazo ni maarufu na haziruhusiwi kabisa kufika huko.