
Rapa Future ameidondosha video ya wimbo wake mpya Rocket Ship.
Rocket Ship imetoka kwenye album yake mpya ya ‘WIZRD’ ambayo imefanikiwa kuingia katika nafasi ya 1 kwenye chati za album bora 200 za Billboard kwa week hii
Video imeongozwa na Vincent Lou.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.

