Mbosso Mpaka Kenya Kwenye Kolabo Ya ‘Mastory’Video Mpya
Msanii Gabu toka Kenya ametupia macho katika Lebo ya WCB na kumwona msanii Mbosso, akamualika kwenye wimbo wa Mastory.
Video imeongozwa na Kenny toka Zoom Production iliyopo Tanzania.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.