×

Party ya MANARA, Anazindua Pafyumu na Foundation Yake – VIDEO

Ofisa habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefanya uzinduzi wa pafyumu yake inayoitwa De Le Boss pamoja na Taasisi yake ya Haji Manara Foundation katika ukumbi wa Hyatt Regency Posta.

Akizungumza wakati anaingia ukumbini hapo, Manara amesema umefika wakati wa yeye kutumia jina lake vizuri ili kujiingizia kipato na si kukaa tu kufurahia kuandikwa magazetini au kubweteka tu akiiongelea Simba.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club