×

Msigwa, Mnyika Walivyokiwasha Bungeni “Mnasema Hatusifii” – VIDEO

Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa, amempongeza Waziri wa Ardhi, William Lukuvi na Naibu wake Angelina Mabula, kwa kujitahidi kufika maeneo mengi nchini na kufanya kazi yao ikiwa ni pamoja na kutatua migogoro ya ardhi.