Rais Dkt John Magufuli leo Februari 06, 2019, amekuwa Mgeni Rasmi katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania ambapo amezindua Mahakama zinazotembea, zinaotarajiwa kupunguza mrundikano wa kesi Jijini Dar es Salaam.