VIDEO MPYA:Walichokifanya Meek Mill, Drake Kwenye ‘Going Bad’ Hapa
Rapa Meek Mill toka Philadelphia baada ya mauzo yake mazuri ya album yake ya ‘Championships’ muda huu ameileta video ya Going Bad akiwa na Drake.
Ndani ya video wameonekana mastaa kibao akiwemo Dj Mustard ambaye ni producer, T.I, Swizzbeatz na wengine kibao.Wimbo huo pia unapatikana kwenye album ya Championships iliyotoka mwaka jana.
Video imeongozwa na Kid Art
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.