VIDEO MPYA:Fid Q Ft Isha Mashauzi, Rich Mavoko – Bambam
Rapa Fareed Kubanda maarufu kama Fid Q kwa mara ya kwanza ndani ya mwaka 2019 ameileta kolabo ya Bambam iliyowakutanisha wasanii watatu akiwemo Rich Mavoko, Khadija Kopa na Big Jahman.
Video imeongozwa na Msafiri Shabani toka Kwetu Studio.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.