×

LUGOLA Amkomalia LISSU – “Rudi Nyumbani, Dereva Yuko Wapi?” – VIDEO

Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, leo akizungumza na waandishi wa habari Jijini Arusha amemtaka Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Kurejea nchini ili kuja kusaidia vyombo vya ulinzi na usalama katika upelelezi wa shambulio lake la kupigwa risasi lililotokea Septemba 07, 2018 jijini Dodoma.

Pamoja na Hayo waziri Lugola amewaonya watu wote wanaotumia vibaya mitandao ya Kijamii kumchafua na kumtukana Rais na kusema kwa kushirikiana na TCRA Watawakamata.