×

MKURUGENZI WA GLOBAL GROUP AWEKA HISTORIA USIKU WA TUZO

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo (Kushoto) akiwasalimia waliofika kwenye Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival, (SZIFF 2019), zilizofanyika jana Mlimani City jijini Dar es Salaam kabla ya kuwatangaza washindi.

 

MKURUGENZI  Mtendaji wa Global Group, Eric Shigongo usiku wa jana alikuwa miongoni mwa waliokabidhi tuzo  za Tuzo za Sinema Zetu International Film Festival, (SZIFF 2019), katika ukumbi wa Mlimani City Februari 23,2019 ambapo Shigongo alitoa tuzo katika Kipengele cha Muigizaji Bora wa Kike katika World Cinema ambapo mshindi walimtangaza washindi  wawili, Leena Alam kutoka Afghanstan na Myra Vishwakarma kutoka India.

…Wakisoma washindi.
…Shigongo akimkabidhi zawadi mmoja wa wakurugenzi wa Azam Yahya Mohamed ambaye alipokea zawadi hiyo kwa niaba ya washindi kwenye mashindano hayo.
… Shigongo akiondoka ukumbini baada ya kukabidhi tuzo.

PICHA NA RICHARD BUKOS | GPL