×

SIMULIZI YA KUSISIMUA: TAA YA AJABU (SEHEMU YA 15) – VIDEO

Hii ni Sehemu ya Kumi na tano ya Hadithi ya Simulizi Hii ya ‘TAA YA AJABU’ ambayo imeandaliwa na Mfalme wa watunzi anaitwa Alex Wamilazo na kusimuliwa na Omary Yusuph.

Sehemu ya kumi na sita ya simulizi ya hadithi hii itakujia siku ya Jumamosi ya Februari 28, 2019.