The House of Favourite Newspapers

WOLPER Amlipua DUDU BAYA / DIAMOND Hajamposti RUGE Mhm! – Video

Muigizaji Jackline Wolper, ametoa wito kwa Watanzania wote kuungana na kuomboleza msiba wa Ruge Mutahaba, na kuachana na maneno ya hapa na pale yenye maana ya kumkashifu marehemu.

Wolper amesema kuna watu wamezaliwa na hasira hivyo kitendo cha mtu kujitokeza na kumdhihaki Ruge kunaweza kusababisha madhara kwa vizazi vyake.

Comments are closed.