The House of Favourite Newspapers

PICHA: UMATI WA WANANCHI WAMPOKEA MAREHEMU RUGE DAR

Umati wa wananchi  wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kupokea mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba ukitokea Afrika Kusini alikokuwa akipatiwa matibabu.

Comments are closed.