×

SPOTI HAUSI: Hii Ndiyo Nafasi ya TAIFA STARS, AFCON! – VIDEO

Kipindi cha Spoti Hausi leo tena kipo hewani ambapo wachambuzi wamechambua mambo mbalimbali ikiwemo nafasi ya Simba kwenye hatua ya robo fainali dhidi ya TP Mazembe.

Lakini kubwa zaidi ilikuwa mechi ijayo ya kutafuta nafasi ya kushiriki kwa fainali za Kombe la Mataifa Afrika kati ya Taifa Stars dhidi ya Uganda. Usikose kuanzia saa 10:00 jioni.