MAONESHO YA BIDHAA ZA QNET YAMALIZIKA KWA KISHINDO JIJINI DAR
Global Publishers March 19, 2019
SHARE THIS:
Mwakilishi wa kampuni ya QNET Erasmus Bahati Amani akiwasilisha mada kuhusu biasha na bidhaa za kampuni ya QNET kwa mamia ya watu waliohudhuria katika siku ya pili ya maonesho ya kampuni hiyo mwaka 2019Mmoja wa viongozi akizungumza jambo.Baadhi ya washiriki, wateja, wawakilishi na wafanyabiashara waliohudhuria katika maonesho ya bidhaa za QNET yaliyofanyika mwaka huu Jijini Dar es salaam wakiwa katika picha yapamoja.