Mwanamke Tasha ambaye anaishi na Mzazi mwezie kwa takribani zaidi ya miaka mitatu anaejulikana kwa Jina la Alex ambaye amekuwa Gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya clip nyingi na picha zilizosambaa zikimuonesha akiwa na Hamisa Mobeto amefunguka mengi juu ya familia yake kusambaratishwa na Mobeto.
Mbali na hivyo amefungukia jinsi ambavyo anavyopata wakati mgumu kwa sasa ndani ya familia yake ukizingatia kwa sasa ni ana ujauzito mwingine wa mzazi mwenzie ukiachilia mbali kuzaa nae mtoto mmoja wa kiume..
Tazama video hii ili ujionee mwenyewe kilicho nyuma ya pazia