×

RAIS MAGUFULI ASHTUKIZA KUKAGUA NDEGE INAYOPAKWA RANGI – PICHAZ

Rais Dkt. John Magufuli leo amefanya ziara ya kushtukiza kukagua kazi ya upakaji wa rangi ndege ya Foker 50 iliyokuwa ikibeba viongozi wa Serikali, ambayo amewapa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) na itaanza kubeba abiria.