
Kikosi cha timu ya TP Mazembe ya DR Congo wakipasha kabla ya mechi ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba katika Uwanja wa Taifa .
Kikosi cha timu ya Tp Mazembe
- Sylvan Gbohouo Guelassiognon
- Joseph Ochaya
- Treso Mambi
- Chongo Kabaso
- Kevin Zatu
- Koffi KOUAME
- Jackson Muleka
- Rainford Kalaba
- Godet Masengo
- Sissoko Abdoulaye
- Michee Mika

Picha na Sweetbert Lukonge, Dar es Salaam