




Rais Magufuli amechangia shilingi milioni tano kwa ajili ya ukarabati wa Kanisa la Parokia ya Mt. Mathias Mulumba, Jimbo Kuu Katoliki la Songea mkoani Ruvuma. Magufuli ametoa pesa hiyo leo alipohudhuria ibada ya dominika ya 5 ya Kwaresma jimboni hapo akiwa na mkewe Mama Janeth.