×

Mtoto wa KINGUNGE Aibukia Kwenye Muziki – Video

Martin Ngombalemwilu ni mtoto wa mwanasiasa ambae kwa sasa ni Marehemu Kingunge Ngombalemwilu, ameamua kujikita zaidi katika tasnia ya muziki.

 

Global TV Online na Global App wamemnana Martin ambaye katika mazungumzo yake anasema ameamua kuingia kwenye sanaa kwa sababu anapenda kufanhya muziki lakini pia anapata support kutoka kwa ndugu zake.

MSIKIE MARTIN AKIZUNGUMZA