ASLAY ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE SIKUKUU YA PASAKA (PICHA +VIDEO)
Global Publishers April 22, 2019
SHARE THIS:
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka katika sikukuu ya Pasaka Aprili 21, 2019 amewathibitishia wapenzi wa burudani kwa kufanya shoo ya nguvu ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar.
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka akitoa burudani katika sikukuu ya Pasaka Aprili 21, 2019 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala- Zakhem jijini Dar. …Akiongea na mashabiki zake.
Mashabiki wakiwa wamepagawa na shoo.…Aslay akifanya yake