×

JPM Akwea Pipa Kueleka Malawi – Video

Rais Dkt. John Magufuli ameondoka nchini kwenda Malawi kwa Ziara Rasmi ya Kiserikali ya siku mbilli. Baada ya kurejea nchini ataanza ziara ya kikazi ya siku nane Mkoani Mbeya.