×

PIERRE: Amber Lulu Alinifanya Mwenyewe, Alianguka Akazimia – Video

Kufuatia kusambaa kwa picha zikimuonyesha mchekeshaji aliyejizola umaarufu mitandaoni, Pierre Liquid akiwa katika mapozi tofauti na msanii wa Bongo Fleva, Amber Lulu, amefunguka na kueleza uhusiano wake na msanii huyo.

PIERE “Amber Lulu Nilimkataa/Akaanguka Akazimia/Ndoa