×

LIVE: KIFO cha Mzee MENGI ni MSIBA wa TAIFA na AFRIKA Nzima!

Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald Abraham Mengi amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Mei 2, 2019 akiwa Dubai katika Falme za Kiarabu (UAE). Dkt Mengi aliyezaliwa mwaka 1944 mkoani Kilimanjaro, amefariki ikiwa ni miezi 6 tangu kufariki kwa aliyekuwa mke wake, Mercy Mengi.