×

VIDEO: HOTUBA YA MAGUFULI KATIKA MASHINDANO YA QURAAN UWANJA WA TAIFA

MASHINDANO makubwa ya Qur-aan Tukufu yanafanyika Leo Jumapili ,Mei 19, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar ambapo washiriki kutoka nchi 20 barani Afrika wanachuana kuwania taji la mshindi wa kuhifadhi Quraan.