
Bondia Andy Ruiz Jr kutoka Mexico ameishangaza dunia baada ya kumtwanga wa KO na kumshinda bingwa wa dunia uzani wa juu, Anthony Joshua kutoka Uingereza. Joshua aliangushwa mara nne katika pambano hilo lililopigwa Ukumbi wa Madison Square Garden.
| JOSHUA | ROUND | RUIZ JNR |
|---|---|---|
| 9 | 1 | 10 |
| 10 | 2 | 9 |
| 8 | 3 | 10 |
| 10 | 4 | 10 |
| 10 | 5 | 9 |
| 9 | 6 | 10 |
| 56 | TOTAL |



