×

ARUSHA: Mwalimu Akamatwa na Bunduki ya Kivita – Video

Jeshi la polisi Arusha limemkata Solomon Letato (30) ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Naan iliyopo Loliondo kwa tuhuma za kujihusisha na uhalifu wa kutumia silaha.

 

Mwalimu huyo alikamatwa Juni 2, 2019 akiwa na silaha ya kivita aina ya AK 47 na risasi tano zilizokuwa kwenye magazine.

 

 

UTASHANGAA!! Mwalimu Akamatwa Na Bunduki – ARUSHA