JARIDA la Forbes mwaka juzi lilitoa orodha ya waigizaji wa kiume na wakike kutoka Hollywood walioingiza mkwanja mrefu zaidi kati ya mwezi Juni 2016 na mwezi Julai 2017 huku likiwatofautisha kwa kutaja orodha ya aliyeingiza mkwanja mwingi zaidi.
Kulingana na Gender Pay Gap Persists ya Hollywood ilitoa orodha ya 10 bora waigizaji wote wa kike walioingiza jumla ya $172.5 million. Walioongoza orodha hiyo ya wanadada ni waigizaji wa kike watatu tu walioingiza zaidi ya $20 million kwa miez 12.
Malipo haya yametofautiana sana na ya wanaume kutokana na kutoshiriki kwao kwa wingi kwenye movies za Super Heroes na sababu nyingine nyingi huku 10 bora ya wanaume wakiingiza jumla ya $488.5.
Emma Stone yeye aliongoza kwa wanawake na kushika nafasi ya 15 alipo changanywa na wanaume
Huku muigizaji Mark Wahilberg akitengeneza mara 2.5 ya pesa ya Emma $26 million
Lakini Melisa McCarthy yeye alishika namba 4 kwa wanawake akiingiza $18 million.
Hii list inatokana na mauzo ya Box Office Mojo, na IMDB
Orodha yote hii hapa chini.
1. Mark Wahlberg anaongoza kuwa na mkwanja $68 million