
Mashabiki wa burudani haswa wapenzi wa muziki wa singeli usiku huu katika kusherehekea Siku Kuu ya Idd Pili wamepata bonge la burudani kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar live kutoka kwa Mzee Wa Bwax katika onesho maalum la usiku wa Ray Vanny.


PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL